Posted by Williammalecela.com on Wednesday, January 07, 2015
 |
| Baada ya kuapishwa kwa ndugu kimweri Mhita,kuwa mwenyekiti wa serikali
ya mtaa wa masaki..hapo akiwa na mama yake Mbunge wa kondoa kaskazini,
Mh Zabein Mhita na baba yake Dr Mohamed Mhita, wakimpongeza baada tu ya
kuapishwa Kwake. Chini dada yake Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mh Mboni Mhita. |
0 comments:
Post a Comment