Wednesday, January 21, 2015



Mwenyekiti wa Sitti Tanzania Faundation, Sitti Mtemvu (wa pili kushoto), akiuangalia mkono wa Adam Robert (aliye vaa flana ya njano) alipo tembelea kituo cha watu wenye Albinizim mwishoni mwa wiki Dar es Salaam, ambaye alikatwa kidole katika kijiji cha Nyaruguguna Geita na kupelekwa Vancouver, Canada kwa
matibabu. Adam Robert alipandikizwa kidole cha kati cha Mguu wa kulia kwenye kiganja chake cha mkono wa kulia kuwa kidole gumba, wakwanza ni Mariam Staford kushoto ambaye alitokea kijiji cha Ntobeye Wilaya Ngara Karagwe na Kurwa Lusana toka kijiji cha mbizi Kahama (kulia) (PICHA NA KHAMISI MUSSA).

0 comments:

Post a Comment