Friday, January 2, 2015


"Siku nyingine maalum ya kumshukuru Mwenyezi Mungu; Alhamdulillah.
Bint yangu Faith ametimiza miaka 10 leo!

She is so excited! Its her first two digit birthday! Natumia pia ukurasa huu kumtakia afya njema, maisha marefu yenye baraka tele. Sisi wazazi wake tutaendelea kutimiza majukumu yetu ya malezi bora kwake!
Happy 10th birthday Fay! Enjoy your last part of childhood. Love you big girl - Mama Fay!"



0 comments:

Post a Comment