Tuesday, January 6, 2015

Baada ya Diamond Platinumz a.k.a Chibu kunaswa na camera akiwa amembebea mkoba mpenzi wake Zarri Hussein, jiulize je wanaume wangapi tunaliweza jambo hilo.
Kwa kitendo hicho ambacho wanawake wengi wamekifagilia na kukiita cha kigentleman unampa maksi ngapi msanii huyu?

1 comment:

  1. huyu muandishi wa habari anaripoti habari za yemen au? mbona old fashion ivo!!! duh, thank God i aint married to a doucebag like this .... crap

    ReplyDelete