LEMUTUZ

Thursday, January 1, 2015

PICHA DIAMOND PLATINUMZ ALIVYOFUNIKA KWENYE VIBE PARTY RWANDA !

Posted by Williammalecela.com on Thursday, January 01, 2015
Usiku wa mkesha wa mwaka mpya Diamond Platnumz amefanya yake katika Vibe Party huko jijini Kigali, Rwanda akiambatana na mpenzi wake mpya Zarinah aka thebosslady kutoka Uganda pamoja na timu nzima ya wasafi na mameneja wake. 
ALICHOKIANDIKA Diamond dakika chache zilizopita!
Hii ilikuwa ni Vibe Party tu ya kusalimiana jana... dah! Nawashkuru sana Rwanda kwa Mapenzi yenu kwangu...najiuliza sjui leo kwenye show itakuwaje pale kwenye Uwanja wa Amahoro.. 
( Imagine that was jus, meet and Greet VIBE PARTY last Night... I swear Rwanda, you guys are Amazing i can't even express how i feel for the love that you have been showing me since i got here...i can not waiting for the Main Show at Amahoro Stadium Today!!! )
Hizi ni baadhi ya picha zilizochukuliwa wakati mkali huyo wa "number one" akitokea hotel na kuelekea ukumbini. Picha zote ni kutoka katika account ya instagram ya wasafi zikiwa zimepigwa na kifesi
Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

TOTAL PAGEVIEWS

Popular Posts

  • LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
  • BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
  • THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
  • IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
  • PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
Copyright © LEMUTUZ

Developed by MKCT