Friday, January 2, 2015


Ommy Dimpoz amekuwa miongoni mwa wasanii wanaofanya show nje ya Tanzania mwaka 2014, Ommy amefanya show Kenya, Mjini Mombasa na kuja kumaliza show nyingine usiku wa mwaka mpya mjini Nakuru.

0 comments:

Post a Comment