Posted by Williammalecela.com on Tuesday, January 13, 2015
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mkazi wa Bagamoyo mjini Bwana Mohamed Amani anayeugua ugonjwa wa Kiharusi kutokana na maradhi ya moyo.Rais Kikwete aliyekuwa katika mapunziko ya mwisho wa wiki nyumbani kwake mjini Bagamoyo alimwona mgonjwa huyo na kuamua kusimama kumjulia hali na kuahidi kumpatia msaada wa matibabu(Picha na Freddy Maro
0 comments:
Post a Comment