Siku MIA MOJA zimepita tangu rais wa AFGHNISTAN, ASHRAF GHANI alipoapishwa kuchukua uongozi wa taifa hilo.
Kazi ya kwanza ya rais GHANI akiwa madarakani ilikuwa ni kutia saini muafaka wa usalama, kuruhusu vikosi vya jeshi la MAREKANI kuondoka kwake kufikia mwisho wa mwaka 2014, na kuleta upatanisho na kundi la TALIBAN.
Taarifa zinasema bado AFGHNISTAN inakumbwa na hali tete ya usalama kutokana na makundi yanayopigana nchini humo na yale ya kisiasa hayajakubaliana kuacha mapiganao wala kuunda serikali ya mseto.

0 comments:
Post a Comment