Sunday, January 4, 2015


"Rest ln Peace My Blood Brother Robert Mutafungwa
Ratiba ya mazishi ya Robert kwa mujibu wa taarifa kutoka kwenye familia ya marehemu;-
1. Marehemu atazikwa siku ya Jumatatu tarehe 5 Januari, 2015 katika makaburi ya Kinondoni hapa Dar es salaam kuanzia saa 10 jioni.
2. Ibada na kutoa heshima za mwisho kwa marehemu vitafanyika katika Kanisa la Kienjili la Kilutheri lililopo Msasani karibu na Hospitali ya CCBRT. Ibada itaanza itaanza saa 8 kamili mchana.
3. Safari ya kupeleka mwili kanisani itaanzia nyumbani kwa marehemu katika nyumba za wafanyakazi Mbezi Beach saa 6 mchana. Safari itaanza baada ya waombolezaji kupata chakula cha mchana kuanzia saa 5 kamili asubuhi hapo hapo nyumbani kwa marehemu".

1 comment:

  1. pls bro can you put more info regarding Robert how he died? he was sick or what happened? its so pain to see young generation is going so fast. I know him and he was my bro in law to my best mate.

    ReplyDelete