STAA mkali wa filamu za Bongo, Riyama Ally amefunguka kwa kinywa chake kuwa baba aliyezaa naye mtoto wake wa kike aitwaye Fatma, amempita takriban miaka 10.Riyama alizungumza hayo alipokuwa akihojiwa katika kipindi kimoja chaTV na kusema kuwa hakuna chochote kinachohusiana na umri katika suala la mapenzi kwa sababu ingekuwa kuna tatizo basi kwa upande wake ingekuwa shida.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment