seriously is soo strange kweli huu ni upendo wa haili ya juu i never seen this, yalojiri leo kwenye mtandao wa insta, account yetu ya makubwahaya imefumania hii, mdau mmoja ameoneka leo amekosa furaha kabisa, kitu ambacho its not normal to many among the peoples, coz ni siku yake ya kuzaliwa, mara nyingi inajulikana yakuwa siku ya kuzaliwa huwa mtu anakua na furaha coz anapokea wishes nyingi
0 comments:
Post a Comment