Thursday, January 22, 2015

 Jenny Prishaz

"Jamani wapendwa najua ni usiku wengine wamelala ila kwangu ni majonzi mazitoo sana. mimi naitwa Suzan dishan mwenzenu nina maumivu ya moyo naombeni ushauri kaka zangu dada zangu.Nilikuwa na mchumba wangu yapata miaka 8 tangu uchumbawetu uwaze alikua manaso nami nasoma nikatangulia kuwahi kupata ajira huku yeye anamaliza masomo mwaka huu mwenz wa7.
tokea mwakajana tumeona hadi mwaka huu tareh4 mwezi. tukaongea njins ya kuweka maisha yetu hapo mwisho wa mwaka huu tukafanya mambo yetu.bahati mbaya au nzur wiki moja kupita nikaanza kujihis niko tofauti nikaenda mahabara nikacheki nikakuta nina UJAUZITO. nika shangaa kwanza nikarudi nyumbani sikutaka kumueleza mda ule nika ngonja kesho nikampigia simu nikamueleza wapendwa sikuamini masikio yangu nilitukanwa kiambiwa mimi naye basi.Jamani ni story ndefu sana kwakifu naombeni ushauri huyu kweli mume au nitapeli?"


  • Justified Yvie Eight years? Jamaa anafanya hivyo?
    It takes only three months to familirize with a person and a year to real know a person.....
    Huyo mjamaa ni sniper asee...
    Pole sana mie huwa siwezi kushauri saana but mjamaa ni sniper
    3 hrs · Like · 1
  • Leonard Athanas Umeingilia mlango wa kutokea
    3 hrs · Like · 1
  • Elias Charles M Ajira gan ulpata hujui ata kuandka? Mana hata huyo jamaa inaonekana anaxoma chuo, na hapo ndo mkenge umeingia
    3 hrs · Like · 1
  • Reuben Mwaki Labda Na Wewe Ni Mama Wa Michepuko,,kudum Thio Sign Ya Love Acha Ubwege
    3 hrs · Like · 1
  • Beatrice von Mandia Maisha hayo hujaanza wewe, wewe ni marudio tu. La msingi zaa mtoto wako hujipange upya, kwani atakusaidia baadae. Tena uimlee kwa kadri Mwenyezi Mungu atakavyokujaalia. Mungu akupe nguvu achana na mawazo ya kumuwaza huyo mwanaume asikupotezee muda wako.
    3 hrs · Like · 1
  • Abubakar Kaneja Kama umemwelewa mpe ushauri siyo kumchambua alivyoandika, hizi ni simu za touch,mbona hata wewe hujui neno maana unaandika MANA?# Elias Charles
    3 hrs · Like · 1
  • Kassim Mtauni hakuna jipya chini ya jua, hiyo mimba kama hamjakubaliana ni sawa aachane nawewe
  • Jenny Prishaz Naombeni ushauri tu maana nimesema kwakifupi.kama kazi ninayo tena nzuri uwezo wa kulea upo. sikupenda tulumbane kaka zangu
  • Patrick John Achana naye fanya maisha yako atajileta mwenyewe
  • Abubakar Kaneja Dada hayo ni mapenzi, ushauri wetu unaweza usifae kitu kutokana na unavyompenda, yawezekana anakupima akili na hasira na maamuzi yako, maanake kila mtu anambinu zake kumpata aliye bora, sasa basi jaribu kuongea naye si mara moja ukiona msimamo wake ndo huo basi achana naye ila usimnyime mtoto haki ya kuwa na baba, na mimi kwa kifupi ndo hayo.
  • Justified Yvie Elias Charles M anaxoma ndiyo nini?
    Bro don't judge buddy!
  • Benny Chriss Suzy, naamini wewe ni mkristu safi, Kwa Yesu amna linaloshindikana, chukua bible yako soma hasa zaburi na umpe bwana Yesu maombi yako nakuahidi utapata jibu akinifu. Usikate tamaa amna kitu kinashindikana kwake kama utataka msaada zaidi ni-inbox, ila tambua maisha ni mapambano..usikate tamaa amna linaloshindikana kwa Mungu chini ya Jua. Uvumilivu na nia ya dhati ndio silaha yako.Pole sana....
    3 hrs · Like · 2
  • Tumain Mtei Pole sana dada chamsingi ni kukomaa tu yeye amekutukana lakini wew mwachie mungu atamjibu
  • Tumain Mtei Pole sana dada chamsingi ni kukomaa tu yeye amekutukana lakini wew mwachie mungu atamjibu
  • David Lyimo binadam Kweli ukiwa nacho waona cha nn wengine twajiuliza tutapataje natafuta hata wa kunisingizia ana mimba yangu
    2 hrs · Like · 1
  • Benny Chriss Husein Sabuni act matured is that what graduate act like? If u u ain`t gotta nothing to say u better stay quiet bro.... I hope ur a perfect gentleman.
    2 hrs · Like · 2
  • Kabizi Abinery Antony Shukuru mungu kwa kila jambo
  • Felix Mkenya pole sana dadangu,ila chamsingi nikuzoeana na mambo kama yalivyo najua huenda ikawa umempenda sana huyu kijana ila ndio hivyo keshakutenda.piga moyo konde fuga ujauzito wako jifungue salama na umlee mtt wako kwa maadili na naamini Mungu atakusaidia.
  • Semeni Nyerere Siku hizi Watu sijui mnasoma wapi? Hata Kiswahil kuandika ni Tabu* mxiuuuuu
    2 hrs · Like · 1
  • Jenny Prishaz Mungu awabariki maana nilikua na maumivu makali ya moyo nakuchukua maamuzi yasiofaa.asanteni sana kaka dada wenye mawazo mazuri juu yangu nawapenda sana.
    2 hrs · Like · 4
  • Justified Yvie Semeni Nyerere kuna watu wakiandika sms uelewi asee.... nashangaa tunazidi kuwa na technology kizazi cha mawasiliano watu wanazidi kuwa bogus generation...
    Logged off!
    2 hrs · Like · 1
  • Charles Sixbert Dada maamuzi ya huyoo Jamaa sio mwisho Wa safari yakoo, hicho nikiumbe chamwenyezi mungu atakusaidia kukirea mkabizi yeyee kwamaombi na Sara hamna lazidi.
  • Semeni Nyerere Kwanin Mlifanya Mambo Yenu Kabla Ya Ndoaaa? Ulijua Matokeo yake?
  • Semeni Nyerere MAHABARA?
    2 hrs · Like · 2
  • Benny Chriss Semeni Nyerere did u cover any minor subject concerning about psychology? in your course? how could you ask such type of a question while you have the answer and she is psychological bump on the other hand... Ni bora kukaa kimya....
    2 hrs · Edited · Like · 1
  • Justified Yvie Gadem graduate.... bora ata angeacha kuandika at times kama neno hauna uhakika nalo... lol
    Any way dada kafikisha ujumbe wake bro mkubwa Semeni Nyerere
    Lol
    2 hrs · Like · 2
  • Fadhili Mtulu Mtulu ila dada usiwe mgonjwa wakupenda unapotendwa jitahidi upatemwengine utapokua flesh baadae kwani ulikua haukujua miaka8 wenzio kumpima mwanaume sikuhizi wanaanzaga kuwadanganya ilikujua ikijakutokea pia amuone atakubali ama atakataa nihayo 2 ukihitaji mengi zaidi ni inbox
    2 hrs · Edited · Like · 1
  • Semeni Nyerere Any way I Expected Her To know or anticipate the Consequences of Every action she makes in Life 89% ya Majuto unayopata is due to Our poor Decision We Made/ make On Daiky basis, Ilikuw Watumie Condom
    2 hrs · Like · 1
  • Semeni Nyerere Uzuri Unakazi Kama Kakataaa Lea! Kwani Tatizo nini? Huwaga wanajileta wenyewe mtoto akipendeza!
  • Justified Yvie That means we ought to presume and not assume as we go down the road....
    Any way dadaa anataka kupewa moyo jamani haya mambo ni magumu saana wandugu.... personally na amini katika action and reaction, the iron law of the universe..... shit can rebound... better be keen....
    Semeni Nyerere upo right bro
    2 hrs · Like · 2
  • Darueish Mkamba Unajua Dd kuna usemi Penye miti hakuna wajenzi Namsikitikia sana huyo kijana kukubwaga msomi km ww Bahati hiyo ningeipata mm! Lkn jaribu kumbembereza huenda anakupenda ila pengine alitaka mtoto ndani ya ndoa.
  • Beth Temu Huyo co ubavu wako. Na pia inawezekana ni jarobu lako mwombe mungu atakuvusha'usikate tamaa mtt ni zawadi kutoka kwa mungu. Naaminiajibu yako hayatoki kwa mwanadamu AMINI tuu. Mungu akutie nguvu kipindi hichi kigumu. Tafuta uso wa mungu kwa bodii
    2 hrs · Like · 1
  • Ibnu Rushdi Ww ndo tapeli ilikuaje mfanye mapenz kabla hamjafunga ndoa hapo wte mlikua matapeli lakin ww ndo umemshinda kwa utapel hengera xaxa kwa kuwa no moja, ushaur wangu jiweke mbali n yy la sivyo utaenda kupma damu uambiwe una ngoma, utakua tapel mara mbili, mwendo w vipaarah
  • Julius Mmavele pole, muombe mungu atakusaidia
  • Jose Vanil Just be happy that happened before ndoa, usihudhunike hiyo ni kawaida sana, amepata tu emotion shock na angeweza pia kukuambia ukaitoe, let me tell u one thing, be u! Usimtegemee sana we endelea tu na maisha yako, akitaka atarudi but u can't find a 'merrito kansera' na Tanzania hakuna ma' psychologist wazuri, wata end up kukupa pole na kukushauri umuache, but no body knws what u feel, men made mistakes and so women, labda hakupanga kuwa mtoto this tym, so imemshtua! Get some time and thnk abt wht so on in the future.......be strong and try Jesus
    1 hr · Like · 2
  • Chacha Magige It's Alread Happens No Way Out, The Solution 2 Reason Behind 2 Look On How U Can Face That Problem U Have, Omba Mungu Atakusaidia Na Usitoe Hiyo Mimba We Zaa Tu Kwan Uwezo Wa Kulea Unao Hata Kama Baba Kijacho Kaikana Huo Ujauwepec/Mimba.
    1 hr · Like · 2
  • Reuben Mwaki We Uliyesema Tz Hakuna Wanasaik Tusitakane Ubaya Bas Hamia Kenya Nenda Na Wakati Bana 2015-uzalendo Mtupu
  • Reuben Mwaki We Uliyesema Tz Hakuna Wanasaik Tusitakane Ubaya Bas Hamia Kenya Nenda Na Wakati Bana 2015-uzalendo Mtupu
  • Bryceson Ng'ungugu Usihofu,usikitike wala kata tamaa ipo njia nzri mbl yako itafunguka.
  • Kissendi Nyanda Ntalima Mpandagoya Kutishia kuua ni polisi case ! ripoti tu kituo chochote ..kama baya likitokea wajue ni nani wa kumuuliza. picha na sms zake achana nazo.
  • Dennis Kaihura Katunzi Usiwaze sana iko siku atakukumbuka halafu utakuwa huna mda nae
  • Twahili Huseni WANAUME WAJANJA WA KUTOMBA LAKINI WANAOGOPA MIMBA ALAFU WANAPENDA WATOTO wala usipate tabu ukijifungua atakuja, WAMBIE WAZAZI WAKE WAJUE WANAWEZA KUSAIDIA KUWEKA MAMBO SAWA
  • Steven Andrew Wewe huseni huyo dada kaomba ushauri tena kwa rugha nzuri kabisa, sasa kwanini unamtukana hivyo? Kama ungekuwa huna chakumshauri ungekaa kimya kuliko ulivyofanya maana umeonesha jinsigani usivyo na busara alafu hufai kuwa baba wa familia wewe kwasababu ni maskini wa busara!
  • Jose Vanil Sipendi sana malumbano ya kipumbafu, umenisikia Ruben? We unaewajua mpe address mshauri aende, mimi sihitaji ushauri, niishi au nisiishi tanzania thats my biz, can u mind urz?? Na sijui hata kama ulielewa coment yangu, usitake kila m2 una utoto kiasi gani
    23 mins · Edited · Like · 1
  • Reuben Mwaki Thats Great Fadha Don Panic Bt Naipenda Nchi Yangu Tz,,sawa Jose?
  • Reuben Mwaki Thats Great Fadha Don Panic Bt Naipenda Nchi Yangu Tz,,sawa Jose?
  • Maria Mponji Ucjal mpendwa wang kwn mimba sio ugonjwa na sio laana,hivo punguza mawazo na pia kula vizur ili uweze kupata mtoto mwenye afya njema. huyo mwanaume achana naye kabisa
  • Maria Mponji Ucjal mpendwa wang kwn mimba sio ugonjwa na sio laana,hivo punguza mawazo na pia kula vizur ili uweze kupata mtoto mwenye afya njema. huyo mwanaume achana naye kabisa
  • Le Mutuz Baharia
    Write a comment...

0 comments:

Post a Comment