- Ally Msigwa, Lisa Steven, Sule Cato and 1202 others like this.
- Brunotobias Muhangwa Mnajaribu kulinganisha limao na chungwa? Labda mngefafanua ni uzuri wa nini mnalinganisha. Kama ni sura na Shep wema yuko juu juu zaidi, lakini kama ni vitu vingine kama pesa ni hapo can comment kwakuwa siufahamu undani wao!
- Janeg Mulo Heheee watu mnavijiba vya rohooo chaaa. Wema wema huwez compare na bibi zari,labda kama pesa ila hayo mengine atasubiri sana kwa. Beautiful onyinye wemaaa, sauti anayo, shape analo, sura inamvuto ukicheza hata mumeo atakuacha. .kama unamponda wema una lako la rohoni eti zarimsauti wake tuu hata haumgeuzi baby wangu shingo, kama unabisha bisha tyuuuuu
- Josephine Kissima , zari mzuri Sana, ana watoto watatu lakini yupo Bomba kishenzi, Kijana hasikii Haoni, mguu sura shape pesa watoto midume ya nguvu mwanamke kamili
- Mariyam Nassor Kitu nachrro zari penda saaaana mashaallah mwenyezi mungu akuepushe na husdda za watu mashaallaah Mashaallaah zari umeumbika upo juu kwakweli mshkuru mungu sanna stella kumbe umeona zari mzuri kwakweli mguu sheppu sura rangi pesa nk mashaallah mashaallaah pendeza sana kaka umejuwa kuchaguwa kudata kwako umedata na mengi kwa zari mengine unapajuwa wewe toto limesimamia kucha wallay zarr mzuri
- Mariyam Nassor Josephine nipo pamoja nawewe unajuwa sisi wanawake tukizaa tu uwa tunabadilika kidogo sasa zari ameisha zaa alafu bado ni mzuri jee angekuwa bado hajazaa ange kuwa vipi wallay zari mwenyezi mungu kakutunikia uzuri nk lazima tuseme ukweli tusijidanganye zari mzuri wema si mbaya ila uwezi kulinganisha korolla na posh
- Sylvester M Kidesela Zari ni kitu ingine na si daraja la huyo mwingine. Si kwa sura wala nini. Muacheni dogo na mambo yake. Go Almasi go
- Neema Fabian Wema mkali wanaponda kwajili wamekuzoea ela kitu gani kama zari anaela wakinge mikono wapewe ela zake azituusu tuna ongele uzuri angalia tabasamu ujue nani mzuri mpo
- Neema Fabian Wema uzuri wakuzaliwa siyo wapesa na anamaringo ndiyo mana namkubali mtoto wakike mapozi
- Neema Fabian Mariyam unaponda ww nimzuri kumshinda wema
- Sylvia Tumbo Wabongo acheni ulimbukeni, zari kafanya sugery mnajua hilo? WEMA shes natural beautifull.Ukiangalia natural features tu, wema is cute. Thick lips to kiss, hips dont lie, NEED I SAY MORE???????? VOICE YAANI hapana chezea madam.
- Brunotobias Muhangwa Jamani, Watu wanapata taabu wapi? Wale wenyemacho mabovu wavae miwani na wale kwenye makengeza wamulaumu muumba wao kwa kuwaumba vile. Uzuri wa wema ni wakuzaliwa naona, na huyu mwingine anauzuri wa dukani! Hivi ni vitu tofauti ila uzuri mwingine ni Diamond Platnumz ndiyo anaweza kuutofautisha. Kama tukijikita kwenye uzuri wa sura, mvuto, muonekano, kimo na sifa zingine anazotakiwa kuwanazo Binti mzuri, jamani Luck Noel ni kitu kingine. Tena huyu mwingine hayumo kabisa kwenye daraja LA wazuri.
- Nkundwe Mwaipopo Wetengere Wema mzuri sana, natural,zari ngoja plastic surgery zianze mambo yake ndo mtajua Kama wema ni Kifaa,zari kajitengeneza kila kona. Ngoja yaanze kumpata Kama ya mrembo Andresaa Urachi wa Brazil ndo mtaelewa
- Neema Fabian Nkundwe nimekukubali
- Nkundwe Mwaipopo Wetengere Neema umemuona huyo mrembo alivyokuwa na sasa? Nakuomba Kama hujamuona mchek mwenyewe hawa wenye sura zilizonyooka Kama wamepigwa pasi zikianza kukongoroka utawaonea huruma. We google Hilo jina utaona ndugu yangu
Wednesday, January 7, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
















0 comments:
Post a Comment