Posted by Williammalecela.com on Wednesday, January 21, 2015
 |
| Huu ni ujumbe wa Mdada mmoja anayeishi London Mbongo ambaye amekuwa akinitukana bila sababu kwa muda mrefu sana sasa, jana ameandika hivyo na kunipigia simu akitaka nimsamehe kwamba alikuwa amepitiwa na Shetani. Well, mimi ni binadam ninayeamini ina JINO kwa JINO so nilikuwa bado sijamalizana naye kwa kawaida watu kama yeye huwa nawaweka kiporo mpaka nitakapopata super angle ya kuwafundisha adabu kwa sababu huwa ninaamini dereva yoyote anaye endesha kwa fujo maana yake ni moja tu hajawahi kupata ajali so anahitaji ajali, anyways ameongea sana sina mengi sana I am Christian so nimemsamehe period!! - Le Mutuz |
0 comments:
Post a Comment