Posted by Williammalecela.com on Sunday, January 04, 2015

 |
| Leo ni siku ya 4 toka Mwaka 2015 uanze ninamshukuru sana my Super God kwamba I am fine na ready to go on with this life na Dunia kwa ujumla, kosa kubwa nililolifanya Mwaka jana ilikuwa ni kushusha my guards na kuanza kuamini watu bila kufikiri mara mbili tu I paid a heavy price so I learned a hard way not to trust people I do not know kirahisi rahisi. Again kwa mara nyingine tena nimekumbana na vikwazo vya shetani kwa kuwatumia binadam in my life nimejifunza one lesson kwamba kuna Shetani mmoja mkubwa sana ambaye ana tatizo na mimi toka siku nilipozaliwa, he has done a lot kunikwaza na hata kujaribu kunimaliza lakini siku zote amekuwa akishindwa kwa sababu nina Mungu ninayemuamini a real God. Nikiwa USA I took a time kumjua mwenyewe kwa kujisomessha masomo ya Bible kila siku usiku kwa Miaka 2 it was one of the best desicion I ever made cause since then sijawahi kuwa na tatizo la kuamua maamuzi magumu kwa kutumia jina lake na hasa ninapokutana na vikwazo vya yule yule Shetani mmoja anayenisumbua toka nilipozaliwa na yule yule mpaka leo anahangaika sana hawezi kushindana na my Super God he just can't! I pray to my God anipe nguvu kama nilizonazo sasa niweze kwenda mbele bila kuangalia nyuma, kama nilivyo siku zote huwa siangalii nyuma just mbele tu so help me God!! - Le Mutuz |
0 comments:
Post a Comment