Thursday, January 22, 2015

Msanii wa kizazi kipya Top In Dar aka tid ame post kwenye page yake ya instagram picha ambayo imezua maswali mengi kwa mashabiki zake kutokana alichoandika kwamba;
"i'm here with my house girl......anajitahidi as long as my place is clean"
Aliandika t.i.d ikifatiwa na picha aliyopiga.Picha hiyo amepiga akionekana yupo na mwana dada huyo ambae yeye anadai ndio house girl.

Swali ni kwamba house girl wake pia yupo instagram ama? na kama sio house girl kwanini kamuita house girl ikiwa picha yenyewe ina utata kutokana na walivyo pozi.Pia mwana dada huyo ali post picha aliyopiga na TID na kuandika;
"feels good when a nigga gets u laughing hard"

0 comments:

Post a Comment