Friday, January 30, 2015

Ujumbe huu umetoka kwa mmoja wa shabiki wa karibu wa wema sepetu anyetumia acount hii @mtaawapili ya instagram : bad new nimezipata jana kuhusu wemasepetu dah mpka nimelia kwa uchungu kwanini teamdiamond na teamzari
wamejipanga vizuri kumrushia wema mavi na mkojo kwenye show yake yyote atakayo fanya jamani mtto watu amefanya nini kwanini msimtafuteni wagomvi wa daimond sio wema..SOMA ZAIDI>>>

0 comments:

Post a Comment