Thursday, January 22, 2015
UVCCM ZANZIBAR WAFANYA MATEMBEZI YA MSHIKAMANO KUUNGA MKONO HOTUBA YA DR.SHEIN
Posted by Williammalecela.com on Thursday, January 22, 2015
Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar, Shaka Hamdu Shaka akiwahutubia mamia ya vijana baada ya kupokea matembezi ya mshikamano na kufanya mkutano wa hadhara kwenye vianja vya Magogoni Kwa Mabata mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kupongeza hotuba ya Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibr Dr. Ali Mohamed Shein aliyoitoa tarehe 12/1/2015 katika viwanja vya Amani mjini Zanzibar.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-ZANZIBAR)
Umati wa vijana ukiwa kwenye mkutano huo uliofanyika kwenye viwanja wa vya Magogoni kwa Mabata.
Umati wa vijana kutoka mikoa mbalimbali ukiwa kwenye mkutano huo uliofanyika kwenye viwanja wa vya Magogoni kwa Mabata.
Mwenyekiti wa CCM Mjini Ndugu Borafya Silima akiwahutubia vijana na wananchi mbalimbali waliohudhuria katika mkutano huo.
Baadhi ya vijana wakiwasili katika viwanja vya Magogoni Kwa Mabata kwa matembezi ya mshikamano.
Vijana kutoka majimbo mbalimbali wakiwa wamekaa katika mkutano huo.
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
Newer Post
Older Post
Home
0 comments:
Post a Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
TOTAL PAGEVIEWS
Popular Posts
LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
0 comments:
Post a Comment