Usiku wa May 1 2015 ndio ilifanyika Zari All White Party Dar es salaam Tanzania, Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari wakawa wahusika wakuu na hii ndio ilikua mara ya kwanzaZari anasimama na kuongea mbele ya umati wa Watanzania, hakuamini kilichotokea mpaka akatoa machozi kama inavyoonekana kwenye hii video hapa chini.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment