Wawili hawa mbali na kufanya kazi kama baba na mwana hakuna ata mmoja aliyedhania kama watafika hapa walipofikia. Bird man na Lil Wayne wameingia kwenye bifu baada ya Wayne kucheleweshewa kwa album yake.Chanzo kingine cha bifu hili kuongezeka ni baada ya kujulikana kuwa Wayne ameshauriana na mshauri wake na kuamua kwenda kumshtaki Bird man amlipe helaSunday, January 25, 2015
Wawili hawa mbali na kufanya kazi kama baba na mwana hakuna ata mmoja aliyedhania kama watafika hapa walipofikia. Bird man na Lil Wayne wameingia kwenye bifu baada ya Wayne kucheleweshewa kwa album yake.Chanzo kingine cha bifu hili kuongezeka ni baada ya kujulikana kuwa Wayne ameshauriana na mshauri wake na kuamua kwenda kumshtaki Bird man amlipe hela
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment