Friday, January 2, 2015

Mrembo na mwigizaji wa filamu, Wema Sepetu amefunguka na kudai kuwa mwigizaji Van Vicker wa Ghana, alichania kwa kiasi flani, kupelekea aachane na aliekuwa mpenzi wake, Diamond.
Kwamujibu wa GPL,akizungumzia sababu za kumwagana na Diamond, alisema pamoja na sababu nyingine, Van Vicker alihusika kuwafanya wamwagane na mpenzi wake huyo waliyedumu kwenye penzi zito lililokuwa gumzo kila kona ya Bongo.SOMA ZAIDI>>

0 comments:

Post a Comment