Siku ya Jumapili ya tarehe 4 January 2015 yamoto band walifanya uzinduzi wa video yao mpya inayokwenda kwa jina la Nitakupwelepweta ndani ya new maisha club.

Show ilikuwa balaaa na kama ilivyo kawaida yake Mlezi na mkurugenzi Mkuu wa kikundi hindo Said Fella aka Mkubwa Fella kupitia ukurasa wake wa instagram aliandika haya machache kuwashukuru wadau waliohudhuria uzinduzi huo
Mimi si size yako Nitakupwelepweta Bure...
Yaani kulikuwa hakuna kukaa chini












0 comments:
Post a Comment