Monday, January 26, 2015

staa wa uganda mwandada anaejulikana kwa jina kama zari the boss lady amefunguka leo kupitia mtandao wako lukuki wa makuwa haya yakuwa she always loves his family na sio kama watu wanavyosema, itakumbukwa yakuwa kipindi cha nyuma mwanadada huyo alipata tuhuma yakuwa huwa anazungukazunguka tu nchi za africa huku
akiwa na boyfreind wake diamond the platnumz, but herself amesema huwa akifanya hvyo hufanya for something na anakuwa kwenye projexts zake na business issues, so kutokana na hilo leo akaamua kuwaonyesha mashabiki wake kwa kurusha picha hii yapo juu akiwa na watoto wake wakienjoy..

0 comments:

Post a Comment