Posted by Williammalecela.com on Monday, February 02, 2015
 |
Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania, Levi Nyakundi (kushoto) na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa kampuni hiyo, Beatrice Singano Mallya (kulia) wakionyesha kipeperushi wakati wakizindua rasmi promosheni ya 'Airtel Yatosha Zaidi' ambapo wateja watakaojiunga na bando la yatosha watapata nafasi ya kushinda kila siku gari moja aina ya Toyota IST. Uzinduzi wa promosheni hiyo ulifanyika jijini Dar es Salaam jana. |
0 comments:
Post a Comment