Thursday, February 12, 2015


Mkazi wa kijiji cha Nyakabanga kata ya Butelankuzi, Bukoba vijijini, Eliud Charles (30) anadaiwa kujinyonga hadi kufa kwa kutumia gauni la mkewe, Velidiana Eliud kutokana na wivu wa mapenzi.
Inadaiwa kabla ya kujinyonga jana saa 12 asubuhi, alimkata mapanga mkewe akimtuhumu kutembea nje ya ndoa.

Unadhani kwanini siku hizi watu wanajiua kwasababu ya mapenzi?

0 comments:

Post a Comment