Friday, February 20, 2015


"Ni kweli mimi Albino, nimejikubali na nimeishi maisha yangu bila kujali nilivyo . Sijawahi kutumia hali yangu kupata kitu kwa huruma, nimepigania maisha yangu na nimepiga hatua. Leo hii naongea nanyi nikiwa Kama Baba ,Mume,Muandishi ,Muandamizi,Bloger na mengine mengine , Lkn hii hali yangu sasa inaanza kunikwaza"
 ·
·

0 comments:

Post a Comment