_photo_Masoud_Khamis-47.jpg)
Ali Kiba akilishambulia Jukwaa wakati wa onesho lake la ufunguzi wa Tamasha la Busara lililojaza Jana Viwanja vya Ngome Kongwe Zenj na kuwavutia wageni wengi waliofika katika viwanja hivyo akipiga mziki laivu
_photo_Masoud_Khamis-54.jpg)
AliKiba akifanya vyake katika jukwaa la Tamasha la Sauti za Busara Zenji jana Usiku
_photo_Masoud_Khamis-57.jpg)
Wasanii wa kikundi cha Alikiba wakitowa Burudani katika Onyesho lao katika viwanja vya Ngomekongwe Zenj
_at_Sauti_za_Busara_2015_%5Bphoto_Peter_Bennett%5D_IMG_7212.jpg)
Wapenzi a muziki wakiwa katika viwanja vya Ngomekongwe wakifuatilia Tamasha hilo wakati wa Msanii wa kizazi kipya Ali Kiba akifanya vitu vyake jukwaani jana usiku wakati wa Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar
_photo_Masoud_Khamis-77.jpg)
0 comments:
Post a Comment