Posted by Williammalecela.com on Tuesday, February 10, 2015
Mkali wa filamu Bongo, Aunty Ezekiel.
MKALI wa filamu Bongo, Aunty Ezekiel amefunguka kuwa pamoja na kupoteza
wazazi wake miaka
kadhaa nyuma pindi akiwa mdogo, anaamini mtoto
atakayejifungua atamfuta machozi ya muda mrefu ya kuwapoteza wazazi
wake.
0 comments:
Post a Comment