Tuesday, February 24, 2015

BREAKING NEWS.!
"Kuna vurugu kubwa zinaendelea maeno ya Mtua, Ilula mkoani Iringa. Chanzo cha vurugu ni Polisi kuvamia kibanda kimoja cha kupika pombe za kienyeji na kumpiga mmiliki (binti wa kukadiriwa miaka 23) na kumuua! Kisa ni kwanini anafanya biashara ya pombe za kienyeji muda wa kazi; Hali ni tete, mabomu na Risasi yanarindima.!"

0 comments:

Post a Comment