Tuesday, February 24, 2015

Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) itafanya kikao chake cha kawaida siku ya jumamosi tarehe 28 february, Dar es slaam.


Kikao hicho kitakachofanyika chini ya Mwenyekiti wake Mhe Dr Jakaya M Kikwete kinatarajiwa kuanza majira ya saa nne asubuhi.

0 comments:

Post a Comment