Posted by Williammalecela.com on Tuesday, February 03, 2015
 |
Mwimbaji maarufu wa nyimbo za Dini Frola Mbasha
amejifungua,ambapo utata uliopo ni jamii kutaka kujua hasa baba halisi wa
kiumbe hicho kufuatia kuwa katika mgogoro na mumewe kwa kipindi cha Zaidi ya
mwaka mzima sasa.
|
0 comments:
Post a Comment