Monday, February 16, 2015

Kila kukicha vita dhidi ya biashara haramu ya dawa za kulevya inazidi kupamba moto,
wakati mataifa mbalimbali yakizidi kuimarisha udhibiti wa biashara hiyo, na wafanyabiashara hiyo wanazidi kuja na mbinu mpya za kusafirisha dawa hizo.


mimba bandia


Huko Colombia mwanamke mmoja raia wa Canada amekamatwa uwanja wa ndege akiwa na tumbo la ujauzito wa bandia ambalo ndani yake alificha kilo mbili za dawa za kulevya aina ya Cocaine.

0 comments:

Post a Comment