Tuesday, February 10, 2015

Kuna moto wa kutisha unaendelea sasa hivi mtaa wa Libya hapa jijini Dar sasa hivi magari ya zimamoto na wazima moto wanaendelea kupigana nao ingawa unawaelemea sana......stay tuned for more info!! - Blogu ya Wananchi

0 comments:

Post a Comment