Muonekano wa ndege ya ndege ya jeshi baada ya kuanguka leo uwanja wa ndege wa Mwanza.(Picha na Mtandao)
NDEGE
ya kijeshi imeanguka leo uwanja wa ndege wa Mwanza na kusambaratika
wakati inatoka kaskazini mwa uwanja huo kuelekea kusini ambapo rubani
wake, Peter Augustino Lyamunda, amevunjika mguu.
Chanzo
cha ajali hiyo ni ndege (mnyama) aliyeingia kwenye moja ya injini za
ndege hiyo ilipotaka kuruka, ikashindwa na kuanguka.
(HABARI: MWANDISHI WETU/GPL, MWANZA)
0 comments:
Post a Comment