Ila kusema ukweli jamani chege hii kitu ingekuwa ya kufichwa asingekunja hiyo tshirt jamani....pia kama yanayosemwa ni kweli huwezi kujua hiyo kitu ni ya nini coz sisi waswahili hayo mambo yanafanywa sana tu siajabu hata na wewe...binadamu hukatazwi kufanya huo uswahili mfano kujikinga dhidi ya watu/vitu vibaya.....mbaya ni kumdhuru mtu tu lakini kama unajikinga au jingine lisilomdhuru mwenzio mbona mi naona hakuna shida??...ila kubali au kataa kwa maisha haya ya
kibongobongo lazima ufike kwa wataalam eidha kujikinga/kujitibu/au kuroga...Wengi wetu hapa mna vichale kadhaa,majumbani mmeninginiza quran, vihirizi humo sehemu zenu za biashara ndo kabisaa...so muacheni chege jamani!...kama mpk sasa hujawahi kukanyaga kwa mtaalamu yeyote basi bado hujakua au hajakukuta..chezea waswahili hehehe...muacheni chegge afanye yake mkimfatilia ATAWAPWEREPWETA written by usipojipangantakupanga

0 comments:
Post a Comment