Mzungu ambaye hakuweza kutambulika jina na uraia wake akionekana amelewa kwa madai ya kutumia dawa za kulevya madawa ya kulevya yasiyojulikana akiondoka eneo la tukio baada ya kukutwa na kamera , Mzungu
huyo alikutwa hoi mchana jana katika mgahawa ulioko karibu na eneo la Mnara wa Askari, barabara ya Samora jijini Dar es Salaam
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment