Wednesday, February 25, 2015

Eeh Mwenyez Mungu Nakushkuru sana kwa kuweza kunipa ujasili na Moyo wa kuyavumilia yote niliyo yapitia... Asante sana Mnh Benard Membe, Joseph Kusaga, Haroun na Kampuni Nzima ya Spice, Mh Nchimbi, Dk Dossaj , Uongozi
wangu, jamaa na Marafiki, Mashabiki zangu pamoja na Familia yangu pendwa kwa kuwa nami bega kwa bega katika kipindi chote cha Miezi hii Miwili Migumu kwangu....Nawashkuru sana

0 comments:

Post a Comment