Mimi nadhani Wema kwa sasa anahitaji mwanasaikolojia ili kumrudisha katika hali yake ya kawaida, najua kuwa alimpenda sana Diamond na hawezi kulipiza zaidi ya yeye mwenyewe kuumia na kufanya mambo yasiyoendana na wadhifa wake, kweli yupo mixup. Anahitaji msaada wa karibu zaidi wa kiakili. Tumsaidieni kwa kweli mimi namuonea huruma sana. Na sikupenda sana maamuzi ya Diamond juu ya Wema japo ninaheshimu maamuzi hayo.

ReplyDelete