ho cha watoto Black Stars.
 |
| Mwenye mpira ndiye mchezaji maarufu wa zamani wa Yanga kwa jina la Sunday Manara "Computer" au "Mkoma" hapa akiwatoka Aloo Mwitu na Athuman Juma wa Simba ilikuwa ni mechi ya finali ya kombe la ubingwa wa soka Tanzania uwanja wa Nyamagana Mwanza mwaka 1977, Sunday alifunga bao la kusawazisha na Sembuli alifunga bao la ushindi yaani 2-1 Yanga wakawa mabingwa. |
0 comments:
Post a Comment