Saturday, February 21, 2015


"ALICHOKISEMA MH. EDWARD LOWASSA KATIKA UZINDUZI WA FOCUS VICOBA

"Mfuko Wa utoaji mikopo FOCUS VICOBA sio mfuko ulioanzishwa na CCM wala hauna mahusiano na chama chochote cha siasa, Focus Vicoba ni mfuko wa kijamii unaosaidia watanzania wote bila kuwepo na ubaguzi wa Dini, siasa na ukabila.
Mimi ni mchangiaji tu katika hii Taasisi mchango wangu unalenga kusaidia watanzania wote bila kujali. Nimeshiriki kikamilifu katika sherehe za uzinduzi wa tovuti maalum ya mfuko huu wa FOCUS VICOBA na kua kama sehemu ya kusaidia kupatikana kwa wataalam wa IT na kuweza kuunda mtandao maalum ambao watanzania watapata mikopo kwa urahisi salama na haraka katika Taasisi hii ya VICOBA. Tumefanikiwa kuzindua na kuendesha tovuti hiyo kwa umakini napenda kutoa wito kwa watanzania wote wanaohitaji mikopo mnaweza kutembelea hii tovuti www.vicobatanzania.wapka.mobi na mkajiunga kwa mahitaji ya mikopo""

0 comments:

Post a Comment