Wednesday, February 25, 2015

Msanii wa nigeria Iyanya au kukere master akifanya mambo yake kwa jiko.

Na kusema anajivunia kuwa single na anapenda maisha ya usingle pamoja na kujihudumia hususani kwenye upande wa chakula huwa anapenda asimame mwenyewe jikoni kama anavyo onekana kwenye picha hapo juu hayo ndo mambo ya iyanya bana.

Categories:

0 comments:

Post a Comment