Friday, February 20, 2015

Picha hizi zinatumika na gazeti moja maarufu nchini la udaku kuwarubuni watu wenye majina maarufu na kuwachafua kwenye magazeti hayo, nyuma ya hii picha kuna gazeti moja la udaku nalijua jina ambao wanatumia picha hii na jina la ALICE MWANGA kama ndio mwenye jina kuwadanganyia wanaume. Leo walijaribu kunichezea na mimi nikawachezea wakakimbia na kuni block lakini hawakujua kwamba Computer yangu automatically ina secreen shot kila kinachoingia hata kwa sekunde moja, so jamani people please be aware na hili gazeti kwa leo nalihifadhi jina.




0 comments:

Post a Comment