Tap! Staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja ‘K’ anadaiwa kufumwa na mwanaume nchini China huku akisusiwa sherehe ya bethidei yake, Ijumaa Wikienda limeinyaka.
Ilisemekana kwamba Kajala amejibu mapigo kwa kujinyakulia kijana kwa ajili ya kumkosha moyo na kumsafisha na skendo za waume za watu.Ijumaa Wikienda lilipomtafuta Kajala kwa njia ya simu hakuwa hewani na hata alipotumiwa ujumbe kwa WhatsApp hakujib
0 comments:
Post a Comment