Wednesday, February 25, 2015

  


nanukuu: Sasa hivi ni makavu Live mwanawane hakuna kuoneana haya kakosea unampa yake ukishindwa "piga tu" huu ushabiki na support ya
kinafiki ifeee mnapiga nyimbo za wasanii wakifa .....ina maana profile zao wakiwa hai hamzioni ati wazee wa fursa !???? Halafu nyie mnasemwa nyie tu kila siku hamjistukii aseeee.....asante komando Written by gossip cort

0 comments:

Post a Comment