Posted by Williammalecela.com on Tuesday, February 24, 2015
 |
| Hili ni toleo la February la gazeti maafuru hapa nchini VibemagazineTz ni kawaida ya gazeti hili kutumia picha ya mtu mwenye influence kubwa sana na Jamii hapa Tanzania so I am humbled sana by that ya kwamba na mimi nimefikia the milestone ya kukubalika sana na Jamii after only three years tu za kurudi home after 30 years Mbelezzz. Again I am humbled na this respect and please pata nakala yako usikose kusoma my history na my life in general and how I became a big Celebrity in just 3 years za kurudi bongo, ujumbe wangu kwa Diaspora wenzangu ni kurudi bongo sio death sentence ingawa maisha ni popote U know!! - Le Mutuz |
0 comments:
Post a Comment