Huyu
dada ni mzuri jamani! Sijui uzuri huu ni mpaka chini kwenye server.
Kweli diamond anafaidi, ndiyo maana king lawrence wivu unamshika, maana
anajua diamond anafaidi. Nitampata wapi mie km huyu wa diamond,
nitamjaribu sintah naye nahisi ni mulemule km zari mpaka kwenye server.
Mwal
nyerere alijisemea akuna kitu kibaya kama kuwa na udogo wa kufikiri
sasa dog mavi ulimtoa zari kwenye video ya x mbona hakupanda ndege kuja
bongo leo hbr zako za kikuma zimlete kama unasubiri waachane chukua kiti
kabisaa maana miguu isijeingia tumboni najic una mironjo umpe na bos
wako kiti milonjo isije kuingia tumboni kwa kusubiri dai amwache zari
yamewashuka
naona ata sahv washabiki wanawakimbia watu wengi wanampenda na
kumkubali zari hatujajua kama nae ana tabia za wadada wa mjini ila naona
ni mama kwahiyo atakuwa ametulia..bi mdashe analo mwaka huu matusi yote
waliyotukana mtandioni hamna kitu!!!!!
Dogiguruwe
akili fupi kama swala...alaf mnajua ile team ushuzi ndo wameipaisha
sana hii couple kuzidi kuwadiss.ndo.kuzidi.kuwaongezea followers watu
wakazidi.kuwapenda
Kiislam
mtu akiwa muislam alafu akatoka kwnda dini nyingine haruhisiwi kurudi
uislam hata akijiongopea mwnyw ni buure maana kwa mungu sio muislam na
hata wakifunga ndoa ya kiislam haihesabiki kama ni ndoa halali
wataendelea kuzin.huyo zari alikuwaga muislam akatoka akawa mkristo so
haruhusiw kuwa muislam ata kama anataka.so diamond kama anaijua din yake
hawez kufunga ndoa isiyojulikana kidin yake kama ndoa halali kazi kwake
diamond!
mie
sifoni ubaya anarudi kwenye dini ya mama yake...ata mimi nampenda mama
yangu sana na ndio maana narudi kwenye dini yake...inaelekea familia ya
wakwe zake haikummkubali atafanyeje mdada wa watu wacha aende
anakopendwa
wer
shouger zelmina usidanganye watu ni wapi kwenye uislam walisema
haruhusiwi kurudi ? acha kuongea upupu wakati dini yenyewe hujui uislam
haumkatai mtu yoyote ukitoka ukirudi sawa tu
At
least sasa tutaanza kuona bata zakomaana dada hutoki out mpaka boss aje
ubebe pochi, am looking forwad wapige picha na Esma maana sijawah ona
wamepiga picha
hao
waliopita wanasema hawana uzazi wamekiri wenyewe kwenye instagram
hawana uzazi ndio maana wanaadopt vi wow wow wow kheri yake huyu ajuza
atamzalia mwana na hiyo menopause unayosema weye malaya kenge
kwendraaaaaaa uko!!!
WOTE MNAOMSEMA ZARI MMEFULIA AOOOOO KUMAMAEEEEE HABARI NI WIFI
TU,CHAMBENI LAKINI HAMBADILISHI KITU NYIE WASAKAYONSA TEAM USHUZI
KUNUKA.HUKU KWA SINTAH NI ZARIMOND TU.MTAPAYUKASANA KM NJITI MWENZENU
MKOMAE VIZURI KM KIGAGULA WENU KASHUPAA KWA CHUKI NAVINYONGO.NA BADOO
VITAPIGA HAZAD SANA HAMNA KONYOO NYIE TEAM
MIREMBE,TEAM MICHIRIZI,TEAM UPUPU,TEAM VIGODORO,TEAM KUROJEKA,TEAM
KULENDEMKA WAPI MKONGO OYOOO SALAM KWA HUDDAH WEWEIYAAA
JEHANAMU
UTAENDA WEWE KWANZA MWENYE HILA NA HUSUDA ZA FITINA UMEAMKA ASUBUHI NA
KUANZA KUFITINI WATU WE NDIO UTAENDA KWANZA MUONE SURA MBAYA KAMA ROHO
YAKO!!!! MXIUUUUU
Huhuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!
Eeeee jamani ama nimefurahi kuskia hii habari lol!! Watu weweee watu
wenye Wivu wakafie mbaliiiiii!! Sasa yametimiaaaa kila la heri chibu
dangoteee! Mi nlikuwa cmpendi chibu lkn nmejikuta tu cku hizi
namkubaliii!! Zari our wiiii karibu ukwenii!!
Hapo
zari atakuwa anajidanganya kurud kwny uislam maana hauruhusu mtu ambae
ni muislam aliekuja kubasilisha sini kwda nyingine isiyo ya kiislam
alafu akaja kurudi tena kwny uislam.sasa kama alikuwa anataka
kubadilisha din ili ahalalishe ndoa ya kiislam ni kazi buree cz hata
wakifunga ndoa ya kiislam haitahesabika kama ni ndoa halali na watakuwa
bado wanazini na ni mahawara maana mmoja wao si muislam kwahyo diamond
kama anaijua dini yake vizuri haruhusiwi kumuoa zari.so kazi kwake
atampenda mungu wake au atampenda zari zaid?
WE
NAWE MPASHIKUNA KAMA NAKUONA ULIVYOKALIA KIGODA CHAKO KILICHOMEGUKA
UNATOA HUKUMU KWA MWENZIO...HAYA BASI DIAMOND AJE KUKUOA WEWE MXIUUUUU
WIVU TU UMEKUJAA MWANAMKE UONI ATA AIBU KUNYOOSHEA WENZIO VIDOLE WE
MAISHA YAKO VIZURI....KWENDRAAAAA UKO SIJUI WEWE NDIO MKE WA
USTADH;AKITAKA USHAURI DIAMOND ATAENDA KWA USTADH NA WALIMU WA DINI NA
SIO WEWE MALAYA KAUZE K UKO KWENDRAAAAAAAAA!!!
Kuna
vinegar nandimu ya unga inafaa nikuzawadie bure,maana hater wewe
kajambe,kaharishe,katapike halafu Kanye maamayo hapo juu.nautaumwasana
dawa hakuna
ishia
kule na wewe ina maa maana Mungu ana kinyongo? kisa ati alikuwa
muisilam sasa haruhusiwi kurudi ili iweje? ina maana Mungu kamaind au? hizi
dini zililetwa na wanadamu hizi mnatisha nazo watu kwenda kulee atia
atakuwa anazini no wonder visasi deile kuuwana albin kisas haku ndo zenu
hizo.
Wewe
neio unajifanya unaujua uislamu kuliko mashekhe na mawalii. Nani
kakwambia kuwa hairuhusiwi kurudi kwenye dini ulioyotoka. Kakojoe ulale
paka mapepe we.
uwii
wadau asanteni kwa kumchamba zelmina nimechekaje sasa anaongea
utafikiri mungu mjomba wake zelmina ndio wale vilaza walikimbia kusoma
madrasa uislam jina tu wakichanganya na ugumu wa maisha gafla anajifanya
na yeye mungu anaanza kutoa hukumu eti uislam haumtaki khaa mijanamke
rudi ukajifunze hata alifu kwanza ndio urudi
Msimnange
aliyesema kwenye uislam ukitoka umetoka. Fatwa ya anayetoka uislam ni
kupigwa mawe mpaka a rest in peace. Hivyo kwa kisasa kwa kuwa hilo
halitekelezwi basi ukishatoka ndio umetoka unasubiri hukumu yako tu siku
ya mwisho ila hakuna kurudi nyuma. Mwenyezi Mungu kaahidi kuwa
anasamehe dhambi zote lakini sio shirki. Hivyo maadam umeamua mwenyewe
basi kidunia unafaidi ila kwa Mungu unasubiri hukumu yako
Zari
mzuri subir ukurutu arudi hewani tutakaa sijui wameblock liblog lake km
anavyoblock account za watu insta....baba alikua tajir alikua tajir so
what?
Si
uweke na wewe utajiri wa babako. Na kama anakuboa unafata nn kwake?
Unamuadmire ila unashindwa kusema na ndo kashasema hatafulia never ever,
upo! Website inalipiwa hyo sasa subiri eti ifungwe hehehehe lione
kwanza.
we
anony 2:45 we ndo tukuulize umefata nini huku.nyie c ndo mahaters
wenzake mkiwa kule mnamtukana sintah weee mara muite sinta.com ni
kiblog mavi.sasa unafata nni mnafki wee.kwenda zako bwege mmoja wewe.
et mawazir.na wewe cnta ma comment yao ya kumfagilia boss wao uwe
unayabana na kuyadelete coz lile janamke lao linabaniaga comment za
wanaomchamba.wewe uliona wapi comment zote zakusifiwa tuu wakat kuna
lundo la watu hawakubali ujinga wake.
siku
nyingine muwe mna google jamani mbona unapata jibu fasta hadi na
mifano utamke vipi kwenye sentesi. my sweet sweet ngololo, my baby baby
ngololo. ebu sintah tuwekee kile kikoras kipya cha diamond.. namupenda mupenda.. zariii… namupenda muganda zariiiii… aah kitamujeee?
Nenda
kajipendekeze na ww chibu akuoe labda utasema chibu kauziwa dhahabu
hadharani!!! Ndiyo c dini yenu inaruhusu!! ROHO YAKO INA GANZI WIVU
TUU!! C IFIKE KIPINDI MKUBALI TUU MATOKEO WHY MNAKUWA HIVI??? VICHAWI
NYIE!!!!
Kama
vipi kaolewe ww ndo tujue chibu kauziwa gold hadharani!!hawana kiki lkn
c umeona mwisho wao ulivyo mzuri utabaki hivyo hivyo na Chuki zako huji
kufanikiwa ng'ooooo!!!
kweli
zari bado hajitambui hivi ukipata bwana dini nyingine na yeye huko,
ukiachwa ukimpata mwingine nae huko, huu ni unafiki tu. anatumianguvu
nyiingi wamzungumzie na pua honi apate komments nyingi.
Weka
hapa picha ya pua yako tuione shenzi, ngoja likupate la kukupata pua
isagike ndio utaitamani hadi hiyo pua ya Sintah.Usitukane kazi ya Muumba
tukana kazi yako!!!
Kwa kweli acha watu wanaopendana kwa sababu zao wapendane Mungu
saidia zarimond waendelee wakati bibie kichaa bado yupo kwenye dozi
maana akirudi huku yani ataandika nadhani this time ni full article ya
kumchamba zari na kibaya zaidi huwa akiandika ubaya wa zari anajitahidi
kumlinganisha na wema kitu ambacho ni kama anamdhanlilisha mtoto wa watu Wema aendelee na yake, zari na diamond nao waendelee na yao Mungu hold kile kichaa kwa muda hawa watu wapumue Yani sielewi akiibuka na zari anaibuka na lipi
atheee..
yani kila sintah akipost picha ya zar watu wanamtukana wanasema
anamtesa wema. kwahiyo wema kaingiaje hapa.yani sinta asiweke habar za
zar kisa wewe humpend zar..inferiority...nyoooo .. ZARI HOMA YA
JIJIIIII
Kwani
na wewe umekatazwa kuwa na Serengeti boy? tafuta wako mwenzio ndio
keshajiopolea.Huyu ndio mwanamke wa kwanza duniani kumsikia anatembea na
wanaume wadogo? usishangae ndio dunia tunayoimalizia ya mbeleni huko
anajua Mola.
Nakuomba
sintah ufute hilo neno hajat kutumia neno hajat kwa mtu mkristo ni
kuudhalilisha uislam hilo ni jina kubwa sana kulipata hulipati kama
hujatubu nyumba ya Allah mapenzi yako usidhalilishe uislam
Usiimbe
upewe umaskini wa fikra, ndo wewe bi shoga u have long way to kwenye
hii morden world.. usitucheleweshe sisi...... Wee ni nani kuona wenzio
Wana dhambi na wewe ni msafi? Dini zina wa brain wash mpaka mnaongea
nonsense... Mfyuuuu
We
Zelmina Nuhu kajambe mbele kule, kujitia unaijua din et ooh hata
wakifunga ndoa still watakuwa wanazin, wivu tu umekujaa halaf unatumia
din kushow miwiv yako, kalambe ndim kuleeee.. As long as ndoa ishapata
baraka za mashekh na family there is no kuzin. Zarimond
sasa
ulitaka mavuzi yake yawe ya gold kwani mzungu huyo? mwenzetu kwani
mavuzi yako ya rangi gani? mnajidai wasafiii wakati wengi wenu humu siku
ya kwenda kudinywa ndo mnanyoaga hamna lolote wote mule mule.
kirohoni mnajijua fikaa kuwa nyie sio wasafi kivile hata msemejee zari mzuri sanaa with or without makeup analipa sanaa.
wengine
huku hata mkipaka make up sura zinadunda so wote make zinawakubali
muacheni zari kwanza hamumjui bendera fata upepo tuu nyumbani kwake
stress free kuzuriiii hakuna madumu wala mitungi ya maji .wenzangu nyie
stress tupu vibatari madirishani.. mjiko la mchina uvunguni mix na
mapanya yaani mna dhiki nyiee mnataka mumshushe zari kwa kipi hasa?? na
usafiri wenu wa bajaji bin daladala nyooo sizitaki mbichi hizi..
mtajinyeeeee… pilipili washaaaaa
Hizo
kiki ndio zinaleta hadi ugomvi ni bora hata watu wawasahau kabisa kila
mtu ashike hamsini zake kwani mwisho wa siku hata pesa ya dagaa
hawatuletei wanakula wenyewe.
wewe hata ya prdi huna si bora Zari ex wake anapesa, na lazima anampa za matumizi ya kila mwezi au mwaka na za watoto anapokea.
weye kaa ufikilie utaishije.
ndoa alifunga na kuachana tabu ipo wapi? mashemrji nao lazima wamtunze mama wa watoto wa bosi/ndugu yao.
wivu.com umekujaa
sasa
kama wewe uliachika na kuambulia pesa ya uji au hata ya kununua pedi
haupati achia wenzio wapae nawe utabarikiwa. wivu unaua.
soma
stars wa ulaya na watu wa kawaida waume uwapatia pesa za mahitaji
period. kama bosi alimpa aliyemfunza gemu ampe mama watoto akawa
anasubiri au chochote ni maisha yao, vinakuhuuu nini
sipendi wenye wivu kama wewe sababu ya tamaaaaaaa
olewa na mwenye pesa achika uone raha yake kama unajua haki yako.
Kwani
walikwambia wanatafuta kiki uwasaidie, yako yanakushinda kazi kufatilia
ya watu na wewe utakuwa ni yule aliyeandika komenti kama hiyo huko mtaa
wa pili.Kama humpendi si upige kimya kwani lazima umalizie kisirani
chako hapa? na huo mkopo mbona una wasiwasi nao unamsaidiaga kulipa?
mwache akope ni maisha yake.Mtu mzima ovyooo!! bi kizee kwani kakuzalia
mkweo?
haloo hater bado mmo tuu pamoja na za uso zooote.ngoja nikuongezee na hii.kanunue sumu ya panya kabisa ..nampenda mpenda zaaaaaaarrriiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
alafu
hawa haters nikutoka kwa mama mashauzi wa la.kwendenihuko mtaa wenu wa
pili kulikojaa uswahili kazi kutukanana so msituletee upumbavu weu
shenzi type.kwani diamond haoni hayo mavuzi? kazi kushadadia mavuzi
wakati dai ndo anayainjoy.stress tu ndo zimewajaa za mawivu.hatuwataki
huku and msije mkamuweka queen na king wetu kwa blog yenu ya kipumbavu.
aged
na sura yake ni sawasawa chezea uzee, anajipamba saaana aonekane 27. na
shoga big pua anatamani aolewe. toka lini wamanyema wakaoa msukule kisa
mimba mtajifariji sana nafsi zenu..Domo akishapata anayoyataka
anasepa..
Kama
Zari mzee na huyo michirizi wenu aliyezeeka kabla ya kuzaa mtamwitaje.
Wivu.com mtakoma na ndoa ndio hiyo ishafungwa. Huyo michirizi wenu akak
PUMZIKO LA WASTAAFU aendelee tu kule vizee.
alafu
nyie wapumbavu mnamshauri zari na diamond toward each other kwani
hawajui kuwa wanajijua wako kwauhusiano gani?get lost nyie mtaa wa pili
na team wema msituletee jam.ndo hivyo project imeshakuwa real
project.msituletee stress nzenu za wema kutokuridiwa tena na
diamond.kwani si ndo nyie mlimshawishi amteme diamond?sasa kilio cha
nini?,mlitegemea kuwa diamond angechukua type ya wema tena? sorry what
do u expect such an big artist?lazima angechukua his real type!
classic,million time beautiful than x,and brain of thinking higher
capacity.and last msilazimishe kuwa zari ni 41 yet u all know kuwa she
is 34 years.take ur stress kwa waswahili wenzenu kazi kutukanan kila
siku hatuwataki huku.get lost losers.
Yaani
nimefurahije kama kweli wameoana. Ee Mwenyezi Mungu nakuomba umlinde
Zari na Diamond kwenye maisha yao ya mke na mume. Mahasidi wote wenye
husda washindwe na walegee. Penzi lao lidumu milele na milele. Amin.
Jamani huko mtaa wa pili kwa njiti aliyepata na kichaa sijui kukoje
maana Zari alivomkaa kooni kama kidaka tonge. Habari ndio hiyooooo. .
Poleni njiti wa kwa obama na mdogo wako tulizo la wastaafu.
Hiv mmemuangalia vzr wema kidevu (uso kwa ujumla) mbona unashuka unamomonyoka vile? Yani
maskini anaumbo baya kwa umbo lake asingechomwa masindano ya
kurekebisha sura na shepu manake hips pia zipo mbili saiv na matako
yanamomonyoka..kwa kifupi amezeeka tofauti na umri wake hata dada zake
wazuri kuliko yeye... Kwenye ile i her shoes sikuizi hamna la maana
anaonekana kabisa hana raha tena anacheka havichekeki anajitabasamisha
hamna kitu duh!! Yule dem anahali mbaya jaman!!! Na nyie team team
acheni kutukana watu mnafanya mamaenu anatukanwa mpaka anakosa raha... Videvu vipo viwili michirizi mwili mzima ngozi mbaya anaenda china kujitengeneza ila waaaapiii!!! Kwakweli pole yake angebakigi vile vile alikuaga mzuri sana saiv hata 30 hajafika anaonekana 45..
Yaani
mama Swiss mpaka anatia huruma. Amefubaa, amekonda amebaki kuvaa
magauni marefut tu utadhani kaokotwa. Anajuta kumpa Chibu likizo. ha ha
haaa. Likizo ya Chibu imeleta neema maana imemfanya Chibu apate mke
mremboo Zari aka Mrs. Diamond.
Muacheni
Zari na Imani yake mbona hao waislamu wanao swali sala kumi kwa siku
ndio wana behead binadamu wenzao kama kuku na mengine mengi mbona Hama
wafunza chuo ndio wanaobaka watoto. Don't judge kujifanya wewe ndio
unajua dini kupita wenzio wewe kama muislamu unayemjudhe Zari umetoa
mimba kambi, umecheat wangapi? Mungu wetu ni wa kusamehe na anaangalia
roho ya mtu. Stop hating and judge others, judge urself first
daaah
mi nilikuwa muislam i mean ukoo wangu dini inakandamiza wanawake ile
jamani..kuchinjana vichwa au kumpiga mwanamke mawe kisa kazini ni kitu
cha kawaida wakati mwanaume anakubaliwa kuzini kwa kuoa wanawake zaidi
ya mmoja..mmh nikaona huku siko sawa huku..chakuolewa ukewenza et kisa
din dini yenyewe nimezaliwa nimeikuta cna uhakika nayo kama ya kweli..
nikaona njia ya ku escape ni kuolewa na mkristo nilipigwa vita vibaya
waliposikia mume wangu ni the don woote kimya walikitulizaa saiv ndo
wanakuja kwangu kuomba misaada.shkamoo pesa
Kha
jamani ZARI mzuri nyie in Mkude's Simba voice! Mtaa wa pili make up
zinadunda anachekeshaje wapambe wake wanavyomsifia sasa nacheeka sijui
wanamjoke hawamwambii ukweli make up zinataka Na sura nayo iwe imtulia
jamani khaa! Ndiyo maana Anachanganyikiwa akiwaona wenzie aged lakini
sura zimenyooka.
nimemchamba
yule bibi wa mtaa wa pili hata halijaachia comment zangu kama yeye iron
lady kama sintah aziachie nyooo misifa imemjaa kwanza yule sio mpare
yule atakuwa ametoka kusini mwa tz..kwakina uncle nchumali
Reply
MWITE WIFIYO AU SHOGA YAKO
A-ALL DAY
E-EVERY DAY
Ila sinta hii picha ya zamani alivyokuja bongo maana kama amekuja Jana bila shaka picha yako na wifi zee icngekosa
hizi dini zililetwa na wanadamu hizi mnatisha nazo watu kwenda kulee atia atakuwa anazini no wonder visasi deile kuuwana albin kisas haku ndo zenu hizo.
uislam uislam msikitini hapa
et mawazir.na wewe cnta ma comment yao ya kumfagilia boss wao uwe unayabana na kuyadelete coz lile janamke lao linabaniaga comment za wanaomchamba.wewe uliona wapi comment zote zakusifiwa tuu wakat kuna lundo la watu hawakubali ujinga wake.
ebu sintah tuwekee kile kikoras kipya cha diamond.. namupenda mupenda.. zariii… namupenda muganda zariiiii… aah kitamujeee?
Mungu saidia zarimond waendelee wakati bibie kichaa bado yupo kwenye dozi maana akirudi huku yani ataandika nadhani this time ni full article ya kumchamba zari na kibaya zaidi huwa akiandika ubaya wa zari anajitahidi kumlinganisha na wema kitu ambacho ni kama anamdhanlilisha mtoto wa watu
Wema aendelee na yake, zari na diamond nao waendelee na yao Mungu hold kile kichaa kwa muda hawa watu wapumue
Yani sielewi akiibuka na zari anaibuka na lipi
kirohoni mnajijua fikaa kuwa nyie sio wasafi kivile hata msemejee zari mzuri sanaa with or without makeup analipa sanaa.
wengine huku hata mkipaka make up sura zinadunda so wote make zinawakubali muacheni zari kwanza hamumjui bendera fata upepo tuu nyumbani kwake stress free kuzuriiii hakuna madumu wala mitungi ya maji .wenzangu nyie stress tupu vibatari madirishani.. mjiko la mchina uvunguni mix na mapanya yaani mna dhiki nyiee mnataka mumshushe zari kwa kipi hasa?? na usafiri wenu wa bajaji bin daladala nyooo sizitaki mbichi hizi.. mtajinyeeeee… pilipili washaaaaa
ptuuuuuuuuuu
weye kaa ufikilie utaishije.
ndoa alifunga na kuachana tabu ipo wapi? mashemrji nao lazima wamtunze mama wa watoto wa bosi/ndugu yao.
wivu.com umekujaa
sasa kama wewe uliachika na kuambulia pesa ya uji au hata ya kununua pedi haupati achia wenzio wapae nawe utabarikiwa. wivu unaua.
soma stars wa ulaya na watu wa kawaida waume uwapatia pesa za mahitaji period. kama bosi alimpa aliyemfunza gemu ampe mama watoto akawa anasubiri au chochote ni maisha yao, vinakuhuuu nini
sipendi wenye wivu kama wewe sababu ya tamaaaaaaa
olewa na mwenye pesa achika uone raha yake kama unajua haki yako.
..nampenda mpenda zaaaaaaarrriiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
yako lazima kama ngozi ya mamba.
Yani maskini anaumbo baya kwa umbo lake asingechomwa masindano ya kurekebisha sura na shepu manake hips pia zipo mbili saiv na matako yanamomonyoka..kwa kifupi amezeeka tofauti na umri wake hata dada zake wazuri kuliko yeye...
Kwenye ile i her shoes sikuizi hamna la maana anaonekana kabisa hana raha tena anacheka havichekeki anajitabasamisha hamna kitu duh!! Yule dem anahali mbaya jaman!!! Na nyie team team acheni kutukana watu mnafanya mamaenu anatukanwa mpaka anakosa raha...
Videvu vipo viwili michirizi mwili mzima ngozi mbaya anaenda china kujitengeneza ila waaaapiii!!!
Kwakweli pole yake angebakigi vile vile alikuaga mzuri sana saiv hata 30 hajafika anaonekana 45..
kwendraaaaaaa din my black ass
nampena mpenda ZARIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
......wapi MOND bin Laden ........