MUSA MATEJA
HAKUNA neno linaloweza kusemwa kwa mara nyingine
zaidi ya Mungu ni mwema! Kauli hiyo inakuja kwa mara nyingine baada ya
mama mzazi wa Mbongo-Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura
Kassim a.k.a Sandra kurejea nchini akiwa yupo fiti.
Habari rasmi kutoka chanzo cha kuaminika zinaeleza kwamba, mama mzazi
wa Diamond amerejea nchini wikiendi iliyopita huku hali yake ikionekana
kuimarika vizuri tofauti na mwanzo ambapo alirejeshwa nchini akiwa hoi
kufuatia kushambuliwa na ugonjwa wa kupooza mkono na mguu.
“Kwa taarifa yenu mama Diamond amerudi yupo nyumbani kwake, Sinza-Mori (Dar).
0 comments:
Post a Comment