Taarifa za hivi punde zinabainisha kuwa mwandishi wa habari raia wa Japan aliyekuwa akishikiliwa na kundi linalojiita Islamic state of Iraq and the levant ameuawa kwa .....
Awali ISIL ilihitaji dola million Mia mbili kama kikombozi (ransom) ili kumwachia huru madai yaliyopingwa na Japana
Kenji goto anakuwa mjapani wa pili kuuawa katika kipindi cha mwezi mmoja na kundi hilo
Kwa nini mnapenda kuionyesha jamii picha za kikatili na za kutisha ? Hivi hamuoni kama mnawaandaa watu kisaikolojia kuwa katili kwa siku za usoni?
ReplyDeleteViongozi wa dini wanaiombea nchi kuwa ya amani huku nyie mnapandikiza mbegu za kishetani? Au ninyi ni wapinzani wa Amani?