Posted by Williammalecela.com on Wednesday, February 04, 2015
 |
| Mkurugenzi wa Tanrade akitathmini bidhaa za kampuni ya umeme wa Solar toka Marekani The Americn Engineering Company iliyoko Mikochen ambayo inatoa umeme wa jua ambao unaweza kuwasha Viyoyozi au Air Condtion 4 kwa wakati mmoja, ku charge simu 20 na Laptop na Computer kwa wakati mmoja. |
 |
| Mkurugenzi wa Tantrade akingalia kiti cha ajabu cha Umeme wa Solar kilichotengenezwa ka kampuni hii ya American Enginering ambacho kinaweza kutoa kivuli, mpaka umeme wa kucharge simu 20, na kuwasha aircondition 4, ukatumia Laptop na Computer kwa wakati mmoja. Kiti hiki kinaitwa "Gosol Table" |
0 comments:
Post a Comment