Friday, February 13, 2015


Agness Masogange na Mwanadada Mkenya Corazon Wote wamejaliwa maombo mazuri yenye kuwafanya wanaume wa run mad, Hawa walianza kusifiana Kupitia Instagram huku wakiwa hawajakutana uso kwa uso ,



Agness akiweka picha basi Corazon ata comment na kuisifia vile vile Corazon akiweka picha Masogange ata comment kuisifu , Wawili Hao hatimae wameonana South Afrika na Kula Bata Pamoja.....Kwa unavyoona Who is Cute zaidi?

0 comments:

Post a Comment